Tuesday, December 6, 2016

Maua na matunda


Pilipili zimeanza kutoa maua na matunda ya mwanzo mwanzo. Wakati huu wa kutengeneza tunda  ni muhimu sana mmea kupata maji ya kutosha na virutubisho muhimu. Hivyo ni wakati wa kuweka mbolea za majani (finishers boosters) mf Multi K.

No comments:

Post a Comment